Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Timu ya Argentina yanyakua ushindi katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 .

Imechapishwa:

Timu ya taifa ya Argentina ndio  mabingwa wa kombe la dunia mwaka 2022 katika mchezo wa soka baada ya kuishinda ufaransa kwenye mikwaju ya penalty hapo jana.Tumewauliza  wasikilizaji weru wa RFI kiswahili wanazungumziaje ushindi wa Argentina  na  je Ni mchezaji yupi aliyewavutia katika mashindano hayo?

Lionel Messi, akiwa na taji la Kombe la Dunia, abeba ushindi.
Lionel Messi, akiwa na taji la Kombe la Dunia, abeba ushindi. REUTERS - KAI PFAFFENBACH
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.