Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Hatuwa ya rais wa Guinea Ikweta Teodoro Obiang kutangaza kuwania tena urais

Imechapishwa:

Karibu kwenye Makala yetu Habari Rafiki, Juma hili utakuwa naye Billy Bilali na leo tunazungumzia kuhusu hatuwa ya Rais wa Guinea Ekweta, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, juma lililopita alitangaza kuwa atawania tena urais katika uchaguzi wa Novemba licha ya umri wake na kuongoza nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 43.Unamtazamo gani kuhusu uamuzi huu?Nini kifanyike kubadilisha mwenendo kama huu?Hali ikoje nchini mwako?

Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang, mnamo 2019 huko Paris (picha ya picha)
Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang, mnamo 2019 huko Paris (picha ya picha) AFP - LUDOVIC MARIN
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.