Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kenya : Raila Odinga apinga matekeo ya uchaguzi

Imechapishwa:

Nchini Kenya, mwanasiasa wa muungano wa Azimio na mgombea mara tano wa urais Raila Odinga  amewasilisha kesi katika mahakama ya juu kupinga ushindi wa mpinzani wake William Ruto katika uchaguzi wa Agosti 9.Nini maoni yako kuhusu hatua hii?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya,Raila Odinga akihutubia wafuasi wake jijini Nairobi, Agosti 22, 2022, baada ya kuwasilisha kesi  katika mahakama ya juu zaidi ya nchi hiyo kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Agosti 9 nchini Kenya ambao ulimpa ushindi mpinzani wake William Ruto.
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya,Raila Odinga akihutubia wafuasi wake jijini Nairobi, Agosti 22, 2022, baada ya kuwasilisha kesi katika mahakama ya juu zaidi ya nchi hiyo kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Agosti 9 nchini Kenya ambao ulimpa ushindi mpinzani wake William Ruto. AFP - YASUYOSHI CHIBA
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
  • 09:41
  • 09:48
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.