Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni yako kuhusu ziara ya mfalme Philippe wa Ubalgiji nchini DRC

Imechapishwa:

Makala haya ni maoni ya waskiliwaji wa RFI Kiswahili kuhusu ziara ya mfalme Phlippe wa Ubelgiji na mkewe nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi (kushoto) akiangalia kinyago kilichokabidhiwa na Mfalme Philippe wa Ubelgiji (kulia) kwa Makumbusho ya Kitaifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huko Kinshasa Juni 8, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi (kushoto) akiangalia kinyago kilichokabidhiwa na Mfalme Philippe wa Ubelgiji (kulia) kwa Makumbusho ya Kitaifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo huko Kinshasa Juni 8, 2022. AFP - ARSENE MPIANA
Vipindi vingine
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.