Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Je Afrika inawezaje kutumia raslimali watu kwa maendeleo ya uchumi?

Imechapishwa:

Takwimu zinaonyesha kuwa rasilimali watu katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, ilikuwa ndogo mno ikilinganishwa na mataifa mengine ya dunia, ambapo Uviko 19 na vita vya Urusi nchini Ukraine vilichangia. 

Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam Julai 26, 2023.
Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam Julai 26, 2023. © @ikulumawasliano
Matangazo ya kibiashara

Wiki hii Emmanuel Makundi anaangazia wito wa wakuu wa nchi za ukanda ili kuangalia namna bora zaidi ya kutumia nguvu kazi iliyoko barani Afrika kwa maendeleo.

Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kutathmini mustakabali wa Afrika kuhusu Maendeleo ya Rasilimali Watu, nchini Tanzania Julai 26, 2023.
Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kutathmini mustakabali wa Afrika kuhusu Maendeleo ya Rasilimali Watu, nchini Tanzania Julai 26, 2023. © @SuluhuSamia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.