Gurudumu la Uchumi
SmartAfrica: Matumizi salama ya mtandao kwa maendeleo - Sehemu ya Pili
Imechapishwa:
Cheza - 10:01
Msikilizaji mataifa mengi ya Afrika, sasa hivi yanafanya juhudi kuhakikisha raia wake wanaunganishwa na huduma ya internet, kama moja ya harakati za kuchochea maendeleo kupitia teknolojia.Lakini kwa wananchi kuunganishwa na huduma hiyo ni jambo moja, changamoto iliyoko sasa hivi kwa nchi nyingi za Afrika ni kukosekana kwa miundombinu sahihi kuwezesha hilo.