Gurudumu la Uchumi
Smart Afrika:Matumizi salama ya mtandao kwa maendeleo - Sehemu ya Kwanza
Imechapishwa:
Cheza - 10:02
Matumizi salama ya mtandao kwa maendeleo, ni moja ya ajenda iliyojadiliwa kwa kina katika mkutano wa juma lililopita nchini Zimbabwe, kuhusu namna bara la Afrika linaweza kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano, TEHAMA, kubadili uchumi wake na kurahisisha upatikanaji wa huduma za msingi kwa wananchi wa bara hilo kama vile afya na kilimo.