Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Miaka 2 madarakani ya Rais wa Tanzania

Imechapishwa:

Wataalamu wa uchumi na diplomasia wanasema, katika muda mchache aliokuwa madarakani, ameonesha dhamira ya kutekeleza mageuzi makubwa ya kiuchumi nchini Tanzania, mbali na uchumi, ameshughulikia masuala ya kisiasa na kusaka maridhiano ya kitaifa, wiki hii katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunaangazia miaka miwili madarakani ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwapungia wananchi wake. Tarahe 20 03 2023
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwapungia wananchi wake. Tarahe 20 03 2023 © IkuluTanzania
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.