Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Ni kufa au kupona, vita dhidi ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi barani Afrika

Imechapishwa:

Msikilizaji kwa mujibu wa tume ya maendeleo ya uchumi ya umoja wa Mataifa, kila mwaka bara la Afrika linapoteza kiasi cha dola za Marekani bilioni 88 ambayo ni sawa karibu asilimia 3.7 ya pato ghafi kutokana na biashara haramu ikiwemo utakatisha utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.Makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii inaangazia suala hili kwa kina, tumezungumza na Dr Rose Mnongya, mtaalamu na mhadhiri wa uchumi katoka chuo kikuu cha St Augustine, jijini Mwanza, Tanzania.

Bara la Afrika linaweza kupata dola za Marekani bilioni 89 kila mwaka ikiwa nchi zitafanikiwa kudhibiti utakatishaji wa fedha na ukwepaji kodi.
Bara la Afrika linaweza kupata dola za Marekani bilioni 89 kila mwaka ikiwa nchi zitafanikiwa kudhibiti utakatishaji wa fedha na ukwepaji kodi. © UNCTAD
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.