Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Biashara na watu wanaoishi na ulemavu mpakani mwa DRC na Rwanda

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii inaangazia namna watu wenye ulemavu kwenye mpaka wa nchi ya DRC na Rwanda wanavyofanya biashara, hasa wakati huu mipaka ya nchi hizo ikiwa imefunguliwa pamoja na nchi ya DRC kuwa mwanachama mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.Mwandishi wetu wa Kigali, Christopher Karenzi, ameshirikiana na Emmanuel Makundi.

Rais wa Rwanda, Paul Kagame na mwenzake wa DRC, FΓ©lix Tshisekedi wakati walipokutana kwenye mpaka wa Rubavu 25 Juni 2021.
Rais wa Rwanda, Paul Kagame na mwenzake wa DRC, FΓ©lix Tshisekedi wakati walipokutana kwenye mpaka wa Rubavu 25 Juni 2021. AFP - SIMON WOHLFAHRT
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.