Gurudumu la Uchumi
Kinachotarajiwa baada ya nchi ya DRC kuwa mwanachama mpya wa EAC
Imechapishwa:
Cheza - 09:23
Makala ya Gurudulu la Uchumi, juma hili inaangazia hatua na matarajio ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kuingizwa rasmi kama mwanachama mpya wa 7 wa Jumuiya hiyo, nini matarajio ya nchi wanachama na raia? Hili ndilo mtayarishaji anaenda kulitazama hivi leo.