Pata taarifa kuu
05h36 - 06h00 GMT

Kuuawa kwa balozi wa Italia nchini DRC, mchakato wa BBI, uchaguzi wa Ghana na mengineyo

Imechapishwa:

Jumatatu ya february 22 balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, Luca Attanasio, ameuawa, baada ya msafara wao kushambuliwa,nje kidogo na mji wa Goma,mkowani Kivu kaskazini mashariki mwa DRC,mchakato wa kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba, nchini Ghana mgombea wa chama tawala ashinda uchaguzi, na kimataifa rais Joe Biden asema Canada ni nchi rafiki wa damu

Jeneza la mwili wa balozi wa Italia nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Luca Attanasio, mjini Limbiate, nje kidogo ya mji wa Milan, Italia Ijumaa February 26 2021.
Jeneza la mwili wa balozi wa Italia nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Luca Attanasio, mjini Limbiate, nje kidogo ya mji wa Milan, Italia Ijumaa February 26 2021. © Claudio Furlan/LaPresse via AP
Vipindi vingine
  • 24:00
  • 24:00
  • 24:00
  • 24:00
  • 24:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.