Pata taarifa kuu
04h36 - 05h00 GMT

Sehemu ya pili ya Historia ya ngome ya Fort Jesus na tamasha la Marahaba nchini Burundi

Imechapishwa:

Makala haya ni sehemu ya pili ya Historia kuhusu Ngome ya Fort Jesus iliopo mjini Mombasa ambapo kwa niamba ya Alliance Francaise ya Mombasa iliandaa tamasha la wiki moja lililojulikana kama Bleu Economy ambalo lilisheheni mambo mengi ikiwemo uhamaishashaji na utunzaji wa mazingira. Utasikia pia tamasha la Maraha lililofanyika jijini Bujumbura.

Fort-Jesus, moja ya makavazi jijini Mombasa.
Fort-Jesus, moja ya makavazi jijini Mombasa. Wikipedia/Domaine public
Vipindi vingine
  • 24:00
  • 24:00
  • 24:00
  • 24:00
  • 24:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.