Pata taarifa kuu
Cameroon

Uchaguzi wa Urais Cameroon tarehe 9, Oktoba

Uchaguzi wa urais nchini Cameroon utafanyika tarehe tisa Oktoba, mwaka huu.Rais Paul Biya amekuwa uongozini, tangu mwaka 1982 na ni miongoni mwa marais walioongoza kwa muda mrefu barani Afrika.

Rais wa Cameroon Paul Biya akikumbatiwa na mwenzie wa Nicolas Sarkozy, pembeni ni Jacob Zuma wa Afrika Kusini.
Rais wa Cameroon Paul Biya akikumbatiwa na mwenzie wa Nicolas Sarkozy, pembeni ni Jacob Zuma wa Afrika Kusini. Reuters
Matangazo ya kibiashara

Rais Paul Biya amekuwa uongozini, tangu mwaka 1982 na ni miongoni mwa marais walioongoza kwa muda mrefu barani Afrika.
Hata hivyo, rais Biya hajajitokeza wazi kutangaza kushiriki kwake katika kinyang'anyiro cha mwaka huu, na hadi sasa chama tawala cha CPDM hakijaitisha mkutano mkuu wa wajumbe, kuchagua atakayepeperusha bendera ya chama hicho.
Rais Biya, alibadilisha katiba ya nchi hiyo ili kumruhusu kuwania tena urais nchini Cameroon.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.