Kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya upigaji picha za Habari, Picha zinazoelezea hali wanazokabiliana nazo wananchi katika mataifa Mbalimbali, kutoka barani Afrika ni asilimia 2 tu ya picha hizo huonekana Duniani.Katika Makala ya Nyumba ya Sanaa Steven Mumbi anaangazia umuhimu wa Upigaji Picha za Habari.
Vipindi vingine
-
Muziki wa injili na Obby Alpha ambaye ametunga vibao kama bora kushukuru
Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.27/04/202420:02 -
Zanzibar: Fahamu zaidi kuhusu Muziki wa Baibuda katika makala haya
Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na msani wa muziki huu wa Baibuda13/04/202420:09 -
Afrobongo na Bruce Africa
Makala haya hukuletea historia ya sanaa na wasani barani Afrika.06/04/202420:03 -
Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na Sam Silver
Sam Silver anazungumza naye Steve Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii.30/03/202420:03 -
Muziki wa Taarab na chid boy mpiga kinanda wa bendi ya nakshi nakshi
Muziki wa Taarab unashehenezwa na mirindimo ya vyombo kwa kisasa sambamba na Kinanda , Kutana na Chid Boy Mpiga kinanda wa Bendi ya Nakshi Nakshi na Mmiliki wa Bendi hiyo.16/03/202420:07