Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume kupigwa na wake zao vyashamiri

Imechapishwa:

Makala ya Habari Rafiki leo hii itakuwa ikiangazia vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyofanywa na wanawake na wanaume  hususan barani Afrika.Moja ya vitendo hivyo vya unyanyasaji ni pamoja na wanaume kupigwa na wake zao ingawaje kuna taarifa kuwa wanaume wengi wanaopigwa hawatoi taarifa mahali popote kwa madai ya kuona aibu.Fuatilia makala haya na mtangazaji wako Sabina Nabigambo.............

RFI
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.