Pata taarifa kuu
SYRIA-LEBANON

Wapinzani nchini Lebanon waitisha maandamano dhidi ya Syria.

Upinzani nchini Lebanon umetoa wito wa uhamasishaji mkubwa wa maandamano dhidi ya Syria wakati wa mazishi ya afisa wa juu wa polisi leo Jumapili, ambaye aliuwawa katika shambulio la gari linalodaiwa kutekelezwa na serikali ya Damascus. 

bbc.co.u
Matangazo ya kibiashara

Generali Wissam al-Hassan wa Majeshi ya Usalama wa Ndani (ISF),Kiongozi aliyejulikana kumpinga rais wa Syria Bashar al-Assad, alikufa katika shambulio la gari siku ya Ijumaa, hivyo kuzua mgogoro ambao unaojumuisha miito ya serikali hiyo kuachia madaraka.

Lakini Waziri Mkuu Najib Mikati, ambaye anataja mauaji hayo kuwa ya kisiasa amesema kuwa ataendelea kubaki madarakani baada ya rais kusema kuwa ni kwa faida ya taifa.

Waangalizi wa haki za binadamu nchini humo wanasema kuwa watu 108 wameuwawa jana Jumamosi.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.