Pata taarifa kuu
YEMEN

Wanajeshi 9 wa Yemen wauwawa na wapiganaji wa Al Qaeda

Wanajeshi tisa wa Yemen wameuwawa na wapiganaji wa kundi la Al Queda katika jaribio la kuteka kituo cha jeshi lililofanywa na wapiganaji hao katika jimbo la Abyan na kusababisha vurugu na majibishano ya risasi.

emirates247.com
Matangazo ya kibiashara

Taarifa za maafisa katika jimbo hilo zimethibitisha kuuwawa kwa wanajeshi hao tisa na kuongeza kuwa wanajeshi wengine kadhaa wamekamatwa.

Aidha wanajeshi waliojeruhiwa wengiwao wakiwa na sare za jeshi wamepelekwa katika hospitali ya kijeshi ya Bashib ambako wanapatiwa matibabu .

Hata hivyo taarifa zaidi zinaeleza kuwa wanajeshi wengine waliojeruhiwa bado hawajaondolewa katika eneo hilo.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.