Pata taarifa kuu
CONGO BRAZAVILLE

Takribani watu 150 wamepoteza maisha kufuatia kulipuka kwa kambi ya kijeshi nchini Jamhuri ya watu wa Congo.

Takribani watu 150 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia milipuko kadhaa iliyotokea kwa mfululizo katika kambi ya jeshi nchini jamhuri ya watu wa Congo mapema leo Jumapili.

ndtv.com
Matangazo ya kibiashara

Majeruhi ambao wanakadiriwa pia kufikia watu 150 wamepelekwa hospitali ambako wanapatiwa matibabu huku wengine hali zao zikitajwa kuwa mbaya kufuatia tukio hilo.

Hata hivyo hakuna kauli yoyote hadi sasa kutoka serikalini kuhusiana na tukio hilo ambalo limetokea katika kambi ya kijeshi ya Mpila.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.