Pata taarifa kuu
NIGERIA

Mashambulio ya bomu yaua watu 40 nchini Nigeria.

Zaidi ya watu 40 wameuawa nchini nigeria katika mashambulio mawili tofauti kwenye miji ya Jos na Damaturu.

Baadhi ya waumini wakishuhudia magari yakiteketea baada ya mlipuko kutokea nje ya kanisa la Mt.Theresa.
Baadhi ya waumini wakishuhudia magari yakiteketea baada ya mlipuko kutokea nje ya kanisa la Mt.Theresa. REUTERS/Afolabi Sotunde
Matangazo ya kibiashara

Watu 25 wamedhibitishwa kuuwawa mjini Jos kwenye kanisa katoliki wakati wananchi walipokuwa wakishiriki misa ya sikukuu ya Noeli ambapo mtu mmoja alijitoa muhanga na kuua watu hao.

Tayari kundi la Boko Haram limedhibitisha kuhusika katika shambulio hilo.

Rais wa nchi hiyo Goodluck Jonatahn amelaani shambulio hilo na kutaka polisi kuwasaka wapiganaji hao popote walipo.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.