Pata taarifa kuu
Pakistani

Osama alikuwa na mpango wa kufanya mashambulizi, nyaraka zafichuliwa

Nyaraka za kiintelejensia zilizopatikana kaika nyumba aliyekuwa akiishi kiongozi wa Alqaeda Osama bin Laden zimeonesha naman akundi la Alqaeda linavyopanga kushambulia magari moshi nchini Marekani siku ya maadhimisho ya miaka kumi tangu shambulizi la kigaidi la September 11.

Eneo aliko uliwa Bin Laden, Abbotabad, Pakistan,  mai 2, 2011
Eneo aliko uliwa Bin Laden, Abbotabad, Pakistan, mai 2, 2011 REUTERS/Abrar Tanoli
Matangazo ya kibiashara

Maafisa wa usalama wameonya kuwa taarifa hizo zinaweza kuwa zimepangwa kupotosha hivyo ni muhimu kuweka mikakati zaidi ya kubaini ukweli wa taarifa hizo.
Hayo yanajiri wakati ambpapo majeshi ya Pakistan yakitangaza kuanazissha uchunguzi kubaini ni vipi,Osmaa bin Laden alikuwa anaishi ncini humo,na halikadhalika kutatthmini uhsusiano wao na Marekani.
Hapo jana waziri wa mambo ya nje wa Pakistani Salman Bashir aliendelea kutetea serikali ya nchi hiyo kuwa haikuwa ikifahamu uwepo wa bin Laden katika eneo la Abbotabad na kwamba hawajafurahishwa na namna Marekani ilivyofanya Oparesheni yake bila kuishirikisha serikali ya Pakistan.

Waziri wa mambo ya nje wa Pakistan
00:48

SALMAN MAY 2011

 

Rais wa Marekani Barracak Obama,alizuru katika eneo la shambulizi la bomu la Septemba mwaka 2001 hapo na kukutana na familia za watu waliopoteza maisha katika shambulio hilo na kusema kuwa kamwe Marekani haitasahau tukio hilo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.