Pata taarifa kuu
INDIA

Watu 41 wafariki dunia katika mafuriko na maporomoko ya udongo kaskazini India

Takriban watu 41 wamefariki kaskazini mwa India, wakisombwa na mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyotokana na mvua kubwa, zilizonyesha kwa siku kadhaa kulingana na ripoti mpya iliyotangazwa Jumanne hii na mamlaka. 

Idara ya hali ya hewa nchini India pia imeongeza muda wa tahadhari yao Jumanne na kutabiri kuwa mvua kubwa zitanyesha katika ukanda huo kwa siku mbili zijazo.
Siku ya Jumatatu takriban watu 25 walifariki dunia katika maporomoko ya ardhi na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha kusini magharibi mwa India, viongozi walisema.
Maelfu ya watu walihamishwa na angalau kambi 100 zilitengwa kwa minajili ya kuwapa hifadhi, mkuu wa serikali ya Kerala Pinarayi Vijayan alisema Jumapili. Jeshi la majini na jeshi la anga wanashiriki katika shughuli za misaada. Maafisa waliohojiwa hawakuweza kusema ni watu wangapi walipotea.
Idara ya hali ya hewa nchini India pia imeongeza muda wa tahadhari yao Jumanne na kutabiri kuwa mvua kubwa zitanyesha katika ukanda huo kwa siku mbili zijazo. Siku ya Jumatatu takriban watu 25 walifariki dunia katika maporomoko ya ardhi na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha kusini magharibi mwa India, viongozi walisema. Maelfu ya watu walihamishwa na angalau kambi 100 zilitengwa kwa minajili ya kuwapa hifadhi, mkuu wa serikali ya Kerala Pinarayi Vijayan alisema Jumapili. Jeshi la majini na jeshi la anga wanashiriki katika shughuli za misaada. Maafisa waliohojiwa hawakuweza kusema ni watu wangapi walipotea. REUTERS - REUTERS TV
Matangazo ya kibiashara

Mamlaka ya hali ya hewa nchini India pia imeongeza muda wa tahadhari yao Jumanne na kutabiri kuwa mvua kubwa zitanyesha katika ukanda huo kwa siku mbili zijazo.

Siku ya Jumatatu takriban watu 25 walifariki dunia katika maporomoko ya ardhi na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha kusini magharibi mwa India, viongozi walisema.

Maelfu ya watu walihamishwa na angalau kambi 100 zilitengwa kwa minajili ya kuwapa hifadhi, mkuu wa serikali ya Kerala Pinarayi Vijayan alisema Jumapili. Jeshi la majini na jeshi la anga wanashiriki katika shughuli za misaada. Maafisa waliohojiwa hawakuweza kusema ni watu wangapi walipotea.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.