Pata taarifa kuu
JAPANI

Mvua kubwa yanyesha magharibi mwa Japan, mmoja afariki dunia

Mwanamke mmoja amefariki dunia na wengine wawili kutoweka Jumamosi kufuatia maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa katika mkoa wa Nagasaki magharibi mwa Japan ambapo nyumba mbili ziliporomoka.

Waziri Mkuu wa Japan Yoshihide Suga.
Waziri Mkuu wa Japan Yoshihide Suga. AP - Issei Kato
Matangazo ya kibiashara

Maeneo mengine ya nchi yamerekodi kiwango cha mvua na mamlaka imetangaza kiwango cha juu cha tahadhari ambacho kinahusu zaidi ya watu milioni moja.

Jimbo moja limerekodi mvua ya milimita 408 kwa masaa 72.

Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Japani imemeonya kuwa mvua inatarajia kunyesh katika nchi hiyo kwa takriban wiki moja.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.