Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ukosekana wa Elimu Kutosha ya Mazingira Hunachangia uharibifu Wa Mazingira (NEMC)

Imechapishwa:

Tatizo la ukosekana wa Elimu ya Kutosha ya Mazingira katika nchi zetu za Afrika kwa kiasi kikubwa kumekuwa kukichangia katika uharibifu Wa Mazingira katika nchi zetu za Afrika mashariki na kati,basi Makala ya Mazingira leo Dunia Yako Kesho juma hili itangazia juu ya mradi wa  Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) wa utoaji Elimu ya uzalishaji wa matumizi sahihi wa Rasilimali zetu

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
  • 09:46
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.