Pata taarifa kuu

Libya: Watu elfu 11,000 wamefariki katika mafuriko, efu 30,000 wakikosa makaazi

Shirika la msalaba mwekundu nchini Libya, limesema idadi ya watu waliofariki katika mafuriko kwenye mji wa Derna imefikia watu elfu kumi na mmoja.

Zaidi watu elfu kumi na mmoja wameripotiwa kufariki katika mafuriko hayo
Zaidi watu elfu kumi na mmoja wameripotiwa kufariki katika mafuriko hayo AP - Yousef Murad
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.