UGANDA- BURUDANI
Eddy Kenzo kuwania tuzo za Grammy
Licha ya kuzaliwa katika familia dunia nchini Uganda, hakukata tamaa kutumia kipaji chake cha muziki na sasa Eddy Kenzo, atakuwa akiwania tuzo maarufu duniani za Grammy.
Imechapishwa:
Cheza - 00:21
Matangazo ya kibiashara
Hapa anazungumzia namna alivyopokea kujumuishwa kwake.
“Najisikia vizuri kwa sababu najuwa kuchaguliwa kuwania tuzo ni baraka.”amesema Eddy Kenzo.
Wakati akianza taaluma yake ya muziki, msani huyo amesema kuwa alikuwa akiwarai maDJ wa muziki kucheza nyimbo zake, uteuzi wa kuwania tuzo mashuhuri duniani za Grammy hapo kesho Jumatatu akisema ni ishara kuwa hata mtu masikini zaidi anaweza kuwa bora.