Pata taarifa kuu
DRC: ZIARA YA PAPA FRANCIS

DRC: Papa awataka vijana kukemea ukabila

Papa Francis, hivi leo aliwataka vijana jijini Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kujenga mustakabali mzuri wa taifa lao, wao wenyewe, akiwasisitiza kukemea vitendo vya ukabila na kupinga rushwa.Kutoka Kinshasa, mwandishi wetu Freddy Tendilonge, ametutumia ripoti ifuatayo….

Pope Francis amefanya kikao na vijana na viongozi wa dini katika uwanja wa   Martyr' mjini  Kinshasa, Congo, 2 Februari 2023.
Pope Francis amefanya kikao na vijana na viongozi wa dini katika uwanja wa Martyr' mjini Kinshasa, Congo, 2 Februari 2023. © Samy Ntumba Shambuy/AP
Matangazo ya kibiashara

Papa Francis anatarajiwa kuwasili nchini humo akitokea nchini Jamuhiri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambako amekuwa na ziara ya siku 3, ambapo hapo jana alifanya misa iliyoshuhudhuriwa na watu zaidi ya milioni moja jijini Kinshasa.

Kwa mujibu wa askofu wa kanisa hilo, Stephen Ameyu Martin, ibada hiyo itafanyika katika jumba la makumbusho la kiongozi wa zamani wa taifa hilo, hayati John Garanga, mjini Juba.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.