Pata taarifa kuu
DRC- USALAMA

DRC: Raia 7 wameuawa katika kambi ya wakimbizi ya Savo

Raia 7 wameuawa katika shambulio jipya la waasi lililolenga kambi ya wakimbizi katika eneo la Savo, kilomita 60 kaskazini Magharibi mwa jiji la Bunia mkowani ITURI, waasi wa Codeco wakituhumiwa kuhusika ambapo miili iliyopatikana ilikuwa imekatwa mapanga.Mwandishi wetu Erickson Luhembwe, ametutumia ripoti ifuatayo…

Waasi wa CODECO kwa muda sasa wamekuwa wakituhumiwa na serikali ya DRC kwa kutekeleza mashambulio kwa raia eneo la Mashariki
Waasi wa CODECO kwa muda sasa wamekuwa wakituhumiwa na serikali ya DRC kwa kutekeleza mashambulio kwa raia eneo la Mashariki © Stringer / Reuters
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.