Pata taarifa kuu
UGANDA-AFYA

Uganda imetangaza kumalizika kwa Ebola

Uganda imetangaza kumalizika kwa maambukizi ya virusi vya Ebola, vilivyozuka miezi minne iliyopita na kusababisha vifo ya watu 55. Katika kipindi hicho,jumla ya  watu 143 waliambukizwa huku 87, wakipona.Kutoka jijini Kampala Mwandishi wetu, Kenneth Lukwago ametuma ripoti ifuatayo.

Kituo cha kuwatenga wagonjwa wa Ebola nchini Uganda
Kituo cha kuwatenga wagonjwa wa Ebola nchini Uganda AP - Hajarah Nalwadda
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.