Pata taarifa kuu
SUDAN KUSINI- USALAMA WA WANAHABARI

CPJ yaitaka Sudan Kusini kuwaachia huru wanahabari wanaozuiliwa

Mashirika ya kutetea wanahabari nchini Sudan Kusini, yamezitaka mamlaka nchini humo kuwaachia huru waandishi 6 waliokamatwa kwa tuhuma za kusambaza video iliyomuonesha rais Salva Kiir akijikojolea. Mwandishi wetu James Shimanyula ametutumia ripoti ifutayo… 

 Salva Kiir, Rais wa Sudan Kusini
Salva Kiir, Rais wa Sudan Kusini AFP - PETER LOUIS GUME
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.