Pata taarifa kuu
EAC-SIASA

Makali ya vyama vya upinzani Afrika Mashariki yaonekana kupungua

Msikilizaji wachambuzi wa masuala ya siasa na wanaharakati wa Demokrasia kwenye nchi za Afrika Mashariki, wanasema mwaka uliopita haukuwa rahisi kwa vyama vya upinzani na kwamba hali hiyo huenda ikaendelea kushuhudiwa kwa muda.

 Raila Odinga,Kiongozi wa upinzani nchini Kenya
Raila Odinga,Kiongozi wa upinzani nchini Kenya AFP - YASUYOSHI CHIBA
Matangazo ya kibiashara

Kwa mujibu wa takwimu za mashirika ya kiraia, viongozi kwenye nchi za ukanda ikiwemo, Kenya na Uganda, upinzani umeendelea kudhoofika sawa na mataifa mengine ya ukanda.

Wachambuzi wa mambo wao wanamtazamo gani? Alhaji Abdulkarim Atiki, anaangazia hili akiwa nchini Tanzania.

Vyama vya upinzani kwa sasa hivi vinatakiwa viwe vyama vya siasa badala ya kuvifanya viwe kama vyama vya kiuharakati.” Amesema Alhaji Abdulkarim Atiki.

Nchini Kenya muungano wa Azimio la Umoja wake Odinga, umeonekana kumbwa na changamoto baada ya uchaguzi wa urais wa mwezi agosti mwaka jana ambapo ulipoteza kwa rais wa sasa William Ruto.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.