Pata taarifa kuu
UGANDA-AJALI

Uganda: Watu 10 wamekamatwa kutokana na tukio la mkanyagano usiku wa mwaka mpya

Polisi nchini Uganda, imemkamata Abbey Musinguzi, mfanyabiashara aliyekuwa ameandaa sherehe za mwaka mpya katika maduka ya Freedom City, ambapo watu 10 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana.Polisi inasema uchunguzi bado unaendelea kubaini chanzo cha tukio hili.Mwandishi wetu wa Kampala, Kenneth Lukwago, ametutumia ripoti ifuatayo…

Sherehe za mwaka mpya nchini Uganda
Sherehe za mwaka mpya nchini Uganda AFP - BADRU KATUMBA
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.