Pata taarifa kuu
DRC- USALAMA

Watu 15 wameuawa katika maandamano dhidi ya MONUSCO nchini DRC

Watu 15 wamekufa wakiwemo walinda amani watatu huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano yanayoendelea kushuhudiwa mashariki mwa nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, raia wakishinikiza kuondolewa kwa vikosi vya umoja wa Mataifa MONUSCO.Mwandishi wetu Erickson Luhembwe, ameaandaa ripoti ifuatayo…… 

Raia wa Goma wakati wa maandamano dhidi ya Monusco
Raia wa Goma wakati wa maandamano dhidi ya Monusco AFP - MICHEL LUNANGA
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.