Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kiongozi wa Upinzani nchini Zambia aachiwa huru

Imechapishwa:

Leo katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu kuachiwa huru kwa kiongozi wa Upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema na kufutiwa mashataka yote ya uhaini yaliyokuwa yakimkabili.

Hakainde Hichilema , kiongozi wa Upinzani nchini Zambia
Hakainde Hichilema , kiongozi wa Upinzani nchini Zambia REUTERS/Rogan Ward
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.