Mjadala wa Wiki
Mapigano mapya nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati licha ya mkataba wa amani
Imechapishwa:
Cheza - 14:29
Mapigano mapya yamezuka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati licha ya kutiwa saini kwa mkataba mpya amani nchini Italia . Ripoti zinasema kuwa zaidi ya watu 100 wamepoteza maisha katika mapigano hayo kati ya waasi wa Anti Balaka na Seleka.Tunajadili mvutano huu.