Mkuu wa tume ya uchaguzi nchini Gambia amemtangaza mgombea wa upinzani Adama Barrow, kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais wa mwaka 2016.Raisi Jammeh amekubali kushindwa.