Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Mkataba wa SADC wa Jinsia na Maendeleo Sehemu ya Pili

Imechapishwa:

Sehemu ya pili na ya mwisho ya mada juu ya Mkataba wa SADC wa jinsia na maendeleo. Grace Kisetu, meneja wa idara ya ujenzi wa nguvu ya pamoja kutoka TGNP Mtandao, shirika lililo mstari wa mbele katika kushughulikia masuala ya kijinsia na maendeleo nchini Tanzania, anaendelea kufafanua kwa kina.

TGNP Mtandao, shirika inayoshughulikia masuala ya jinsia nchini Tanzania.
TGNP Mtandao, shirika inayoshughulikia masuala ya jinsia nchini Tanzania.
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.