Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Wananchi wa Congo Brazzaville wanatazamiwa kupigia kura ya maoni katiba mpya oktoba 25 2015.

Imechapishwa:

Katika makala hii tunazungumzia kubadilishwa kwa katiba nchini Congo Brazzaville, hatua ambayo itamruhusu Rais Denis Sassou Nguesso kuwania muhula wa tatu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2016.Serikali iliwatangazia Wananchi kujiandaa kuipigia kura katiba mpya tarehe 25 mwezi huu wa October, huku upinzani nchini humo ukielezea kuwa hatua hiyo ni mapinduzi ya kikatiba.Kulizungumzia hilo, naungana naye Barack Muluka ni mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa jijini Nairobi nchini Kenya, Lakini pia Etienne Kambale huyu ni mchambuzi wa kisiasa akiwa mjini gOMA ni huko mashariki mwa DRCongo,Karibu msikilizaji katika kusikiliza makala hii.

Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam
Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam RFI/BILALI
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.