Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Wasanii wa Mashariki mwa DRC wazungumzia Tamasha la Amani na mwanamuziki AKON

Imechapishwa:

Jumapili ya tarehe 21 mwezi wa septemba kila mwaka dunia, inashehekea siku ya amani duniani.Na katika maadhimisho ya mwaka huu viongozi wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, wakishirikiana na shirika la peace one day pamoja na tume ya umoja wa mataifa huko DRC, ifahamikayo kama Monusco walimualika mwanamuziki wa kimataifa mmarekani mwenye asili ya Senegal AKON kuja kuwatumbuiza wananchi wa eneo hilo, kama ishara ya kuwa amani imekwisha kupatikana katika eneo hilo, lililokumbwa na mapigano ya muda mrefu.Ungana naye Edmond Lwangi Tcheli, kusikiliza maoni ya wanamuziki wa Goma namna amabvyo walipokea tamasha hilo la amani. 

MAGLOIRE/RFI, Goma
Vipindi vingine
  • 20:05
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
  • 20:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.