Pata taarifa kuu
SIERRA LEONE-LIBERIA

Vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Ebola vyaongezeka Sierra Leone,Liberia

Idadi kubwa ya ripoti mpya za maambukizi ya virusi vya Ebola imetajwa huko Sierra Leone na Liberia ambapo kumearifiwa vifo 19 kutokea ndani ya siku tatu za juma hili,shirika la afya duniani WHO limearifu.

Wahudumu wa afya huko Magharibi mwa Afrika wakitoa huduma kwa waathirika wa virus vya Ebola
Wahudumu wa afya huko Magharibi mwa Afrika wakitoa huduma kwa waathirika wa virus vya Ebola AFP PHOTO / SEYLLOU
Matangazo ya kibiashara

Idadi hiyo inaonesha kwamba ni harakati dhidi ya muda wa kudhibiti ugonjwa huo huko Sierra Leone, wameeleza madaktari wasio na mipaka.

Kwa ujumla kumetokea vifo 539 huko Afrika Magharibi tangu kutokea kwa ugonjwa huo katika taifa jirani la gine mnamo mwezi wa pili.

Viongozi katika ukanda huo wamekubaliana kuchangisha fedha kwa ajili ya kukabiliana na kuenea kwa ugonjwa huo.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.