Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Mapinduzi ya kijeshi nchini Mali

Imechapishwa:

Mjadala wa wiki jumatano hii tunazungumzia kuhusu mapinduzi ya nchini Mali, hatuwa ya  Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi xa magharibi ECOWAS kuwatenga viongozi wa kijeshi walioendesha mapinduzi nchini Mali. Victor Abuso amezungumza na Robert Mkosamali na profesa Lari gumbe, wote wawili ni wachambuzi wa maswala ya kisiasa, fuatilia......

Ujumbe wa ECOWAS nchini Mali utaongozwa na rais wa Cote d'Ivoire
Ujumbe wa ECOWAS nchini Mali utaongozwa na rais wa Cote d'Ivoire REUTERS/Thierry Gouegnon
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.