Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Ubingwa wa Zambia watoa changamoto kwa nchi nyingine barani Afrika

Imechapishwa:

Ubingwa wa Zambia katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika ni changamoto kubwa kwa nchi nyingine barani Afrika na hususani nchi za Afrika Mashariki.Katika Mjadala wa Wiki hii Lizzy Masinga ameongoza mjadala wa wachambuzi wa masuala ya michezo wakiangazia yale yaliyochomoza katika fainali za mwaka huu huku Zambia ikiibuka kidume wa fainali hizo.Endelea kusikiliza...............

RFI
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.