Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 25/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya

Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya
 
Waziri mkuu wa Uingereza, Theresa May akizungumza kwenye bunge la nchi hiyo hivi karibuni. Reuters TV via REUTERS

Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano kati ya wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani nchini Uingereza ambao wanavutana kuhusu kuafikiana na mkataba wa umoja wa Ulaya utakaowezesha nchi hiyo kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.

Juma hili wabunge karibu wote walikataa mkataba ulioafikiwa kati ya waziri mkuu May na viongozi wa umoja wa Ulaya. Mvutano huu una athari gani za kiuchumi kwa Uingereza?

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana