Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Siasa - Uchumi

Wanaharakati wapinga hatua ya serikali kuhusu kodi kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

media Bunge la Uganda, mwezi uliipita lilipitisha sheria inayowatoza kodi wale wanaotumia mitandao hiyo kama Facebook, Twitter,Instagram, Youtube na Skype miongoni mwa mingine. REUTERS/Yves Herman/Foto Archivo

Wanaharakati nchini Uganda wamekwenda katika Mahakama ya Kikatiba, kupinga utekelezwaji wa sheria inayowatuza kodi watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini humo.

Sheria hiyo ilianza kutekelezwa tarehe 1 mwezi huu ambayo watumiaji wa mitandao hiyo, walianza kulipia Shilingi 200 kwa siku.

Wanaharakati hao wakiongozwa na Mawakili wanne ambao ni vijana, wanaitaka Mahakama kuamua kuwa sheria hiyo ni kinyume cha Katiba na inakiuka haki za binadamu.

Hii imekuja baada ya bunge mwezi uliipita kupitisha sheria na kuwepo kwa utozwaji ushuru kwa wale wanaotumia mitandao hiyo kama Facebook, Twitter,Instagram, Youtube na Skype miongoni mwa mingine.

Serikali ya rais Yoweri Museveni imesema, fedha zitakazopatikana zitasaidia kufadhili maendeleo mbalimbali.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana