Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Umuhimu wa Sekta binafsi barani Afrika hasa wakati huu mkataba wa biashara huria ukiwa umetiwa saini

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia umuhimu wa sekta binafsi katika maendeleo ya bara la Afrika kiuchumi na hasa baada ya hivi karibuni viongozi wa bara la Afrika kukubaliana na kutia saini mkataba wa biashara huria kwa bara hilo, wataalamu wa masuala ya uchumi wanamtazamo gani pamoja na wadau? Ungana na mtayarishaji wa makala haya.

Mkutano wa viongozi wa Afrika walipokutana hivi karibuni Kigali, Rwanda na kutia saini mkataba wa biashara huria kwa bara hilo.
Mkutano wa viongozi wa Afrika walipokutana hivi karibuni Kigali, Rwanda na kutia saini mkataba wa biashara huria kwa bara hilo. REUTERS/Jean Bizimana
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.