Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Sehemu ya pili ya makubaliano ya biashara huria kwa bara la Afrika, Kigali Rwanda

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu yaliyokubaliwa na viongozi wa Afrika kwenye mkutano wa Kigali Rwanda ambako walitia saini mkataba wa biashara huria kwa bara la Afrika.

Rais wa Cameroon Paul Biya (kushoto), rais wa Rwanda Paul Kagame (katikati) na mkuu wa tume ya Afrika Mussa Faki Mahamat wakiwa kwenye mkutano wa Kigali, 20 Machi 2018.
Rais wa Cameroon Paul Biya (kushoto), rais wa Rwanda Paul Kagame (katikati) na mkuu wa tume ya Afrika Mussa Faki Mahamat wakiwa kwenye mkutano wa Kigali, 20 Machi 2018. https://au.int/en
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.