Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 10/12 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 10/12 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 09/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
 • Mahakama ya China yazuia mauzo ya iPhone kufuatia ombi la Qualcomm
 • Nadia Murad, mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel 2018, aomba "ulinzi wa kimataifa" kwa jamii ya Yazidi
 • Nchi itayoandaa michuano ya AFCON 2018 itajulikana Januari 9 kwa mujibu wa rais wa Shirikisho la Soka Afrika

Mahakama Kuu nchini Kenya yataka wagombea urais kushiriki uchaguzi

Mahakama Kuu nchini Kenya yataka wagombea urais kushiriki uchaguzi
 
Askari Polisi wakijaribu kuwatawanya wafuasi wa upinzani wa NASA walipokua wakiandamana kupinga hatua ya kufanyika uchaguzi bila mabadiliko ya IEBC REUTERS/Thomas Mukoya

Hivi karibuni Mahakama Kuu nchini Kenya iliamua wagombea wote wanane wa urais washiriki katika uchaguzi wa marudio unaotarajiwa Oktoba 26 mwaka huu hatua ambayo imeibua maswali lukuki huku Muungano wa Upinzani NASA chini ya kinara wake Raila Odinga ukitangaza kujiondoa katika marudio.
Kutokana na hali hiyo Kenya iko njia panda na kujua kwa undani mustakabali wa nchini na sheria zinasema nini? sikiliza Makala haya ya Wimbi la Siasa na Victor Robert Wile.

 

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana