Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/07 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/07 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Siasa - Uchumi

Spika wa bunge la mkoa wa Kinshasa atimuliwa

media Roger Nsingi aliongoza bunge la mkoa wa mji wa Kinshasa kwa miaka kumi na moja. Picha hii ni ya mji wa Kinshasa. Wikipédia

Bunge la mkoa wa mji wa Kinshasalimemtimua mwenyekiti wake Roger Nsingi. kigogo huyo wa kundi la zamani la waasi la MLC la Jean-Pierre Bemba, ambaye leo yko katika chama cha MLC/Liberal, anaongoza bunge hilo kwa miaka kumi na moja sasa.

Kwa kauli umoja, wabunge 39 waloshirikia kikao cha siku ya Alhamisi walipiga kura ya kufukuzwa kwa Roger Nsingi.

Spika wa mkoa wa mji wa Kinshasa alikua akilengwa mbunge Jolino Makelele kwa kutokua na imani naye. Alikua akistumiwa kwa urasibu mbaya, matumizi mabaya ya fedha za umma na kutowajibika kwa mamlaka yake.

Roger Nsingi hakushiriki katika kikao hicho kilichoamua hatima yake. Kutoshiriki kwa kiongozi huyo kwenye kikao ni kosa hubwa, kwa mujibu wa wabunge wa mkoa walishiriki kikao cha siku ya Alhamisi.

Roger Nsingi alichaguliwa mbunge wa mji wa Kinshasa kupitia tiketi ya chama cha MLC cha Jean-Pierre Bemba Gombo mwaka 2006, lakini alikihama chama hicho cha upinzani baada ya ku MLC kugawanyika.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana