Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Afrika itumie TEHAMA kwa maendeleo na ukuaji wa uchumi

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inazungumzia kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya mtandao hasa katika matumizi ya programu za simu na tovuti kwaajili ya kufanya biashara na mawasiliano.

Mfano wa simu ambayo inaweza kutumika kufanya biashara kwa kutumia programu maalumu
Mfano wa simu ambayo inaweza kutumika kufanya biashara kwa kutumia programu maalumu 路透瀾 Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.