Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Biashara ya Samaki nchini Tanzania na kwenye nchi za ukanda

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia namna biashara ya Samaki kwenye nchi za Afrika Mashariki inavyoendelea kukua na kutegemewa kutoa ajira na wananchi wa mataifa husika. Juma hili tunalitazama soko la kimataifa la Kirumba Mwaloni lililoko jijini Mwanza nchini Tanzania.

Wachuuzi wa Samaki kwenye moja ya masoko hapa barani Afrika.
Wachuuzi wa Samaki kwenye moja ya masoko hapa barani Afrika. © Kyle G. Brown
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.